Pages

Tuesday, September 10, 2013

WEMA SEPETU AWATOA MATE MANJEMBA KWA USTADI WA KUKATA KIUNO..!!

MADAM, Wema Sepetu ameonesha upande wa pili wa maisha yake baada ya kunaswa akikata mauno mwanzo mwisho.   Kwa mujibu wa mtandao mmoja wa Kibongo, Madam alifi ka na kampani yake katika Ukumbi wa Thai Village, Masaki jijini Dar hivi karibuni na ndipo ‘mashetani’ yalipompanda baada ya kusikia sebene lililokuwa likiporomoshwa na Bendi ya Skylight. Wema...

No comments:

Post a Comment