Pages

Sunday, January 19, 2014

BREAKING NEWS .MAWAZIRI WAPYA !!!Saada Mkuya ni waziri wa fedha mpya, Asha Migiro ni waziri Katiba soma zaidi hapa

MAWAZIRI WAPYA WATAJWA: WAPO MIGIRO, JUMA NKAMIA ,MWIGULU NCHEMBA NA JENISTA MHAGAMA


Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue.akitangaza baraza la mwaziri leo.
  •   Hakuna Mabadiliko Ofisi ya Rais
  • Ofisi ya Makamu Wa Rais - Naibu Waziri Kitwanga amehamishwa na nafasi yake imejazwa na Mhe. Ali Mwalimu
  • Mwigulu Nchemba amekuwa Naibu Wizara ya Fedha (Sera). Aliyekuwa nafasi hiyo sasa ni Waziri Kamili
  • Uchumi na Mapato sasa anatoka Janet Mbene na inajazwa na Adam Malima
  • Dr. Asha rose Migiro sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria
  • Kwenye Ulinzi na Kujenga Taifa ni Dr. Hussein Mwinyi
  • katika Mambo ya Ndani - Mathias Chikawe
  • Afya na Ustawi wa Jamii - Naibu wake sasa ni Waziri Kamili; naibu wa sasa ni Dr. Kebwe S. Kebwe
  • Waziri Mulugo amepigwa chini rasmi . Nafasi yake imejazwa na Jenista Muhagama
  • D. Sophia Simba amebaki na naibu wake akiwa ni Pindi chana katika wizara ya Jinsia na watoto.
  • Katika wizara ya Mifugo na Maendeleo yake ni Dr. Titus Kamani mbunge wa Busega atakuwa Waziri mpya. Naibu wake ni Saning'o Kaika Telele na hivyo Wizara nzima imepata mawaziri wapya
  • Mhe. Ole Medeye Amepigwa chini na nafasi yake kuchukuliwa na George Simbachawene katika wizara ya Ardhi ila bado waziri wake ni Prof. Tibaijuka)
  • katika kilimo na Chakula waziri ni yule yule na Naibu wake ni  Godfrey Zambi
  • Wizara ya Habari na michezo waziri ni yule yule Dr. Fenella Mukangara ila naibu wake ni mpya , Mtangzaji wa zamani na mbunge wa Singida Bw. Juma Nkamia
  • Maliasili na Utalii Nyalandu amekuwa Waziri Kamili. Naibu ni Mahmood Hassan Mgimwa
  • Katika Nishati na Madini ni Prof. Sospeter Muhongo na Naibu wake ni Charles Kitwagwa akiichukua toka kwa Simbachawen

HAWA NDIYO MAWAZIRI WAPYA!!


  


Saada Mkuya ni waziri wa fedha mpya, 

Asha Migiro ni waziri Katiba na Sheria

Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi

Malima Waziri Mdogo Fedha

Kebwe ni Waziri Mdogo Afya

Chikawe ni Waziri Mpya Ndani 

Mhagama Waziri Mdogo elimu 

Pindi chana Waziri Mdogo Watoto Kinana Mama

Dr. Lengeya Kamani Waziri wa Mifugo 

Waziri Mdogo Telele Mifugo

LADY JAY DEE ANUNUA RANGE ROVER MPYAAA




Respect kubwa kwa mwadada Lady Jay Dee......Hiyo ni Range Rover Sport ...Nomaaaa na ulaji wake wa mafuta ni tofauti na mlio uzoea.